iqna

IQNA

watetezi wa qurani
Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Serikali ya Uswidi inatakiwa kujibu matakwa ya wazi kabisa ya Waislamu kwa kuwajibika na kufuata kikamilifu kanuni za kimsingi za haki za binadamu, kwa kuhimiza maadili na kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti na kuchukua hatua za kivitendo na zenye ufanisi.
Habari ID: 3477679    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Kitendo cha kuvunjiwa heshima tena kitabu kitakatifu cha Qur’ani huko nchini Uholanzi kimekabiliwa na malalamiko na laana za Baraza la Ushirikiano wa Ghuba la Uajemi, Bunge la Kiarabu na nchi za Kiarabu za eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3477650    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
AMSTERDAM (IQNA) – Nakala ya Qur’ani Tukufu iliyovunjwa heshima na kuchanwa nchini Uholanzi mwezi uliopita imekarabatiwa.
Habari ID: 3477638    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
NEW YORK (IQNA) – Waziri Mkuu wa Malaysia Datuk Seri Anwar Ibrahim alishutumu vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani kuwa ni vitendo vya "chuki dhidi ya Uislamu" ambavyo vinalenga kuchochea uhasama.
Habari ID: 3477632    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/22

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
NEW YORK (IQNA) - Viongozi wa Uturuki na Malaysia wamelaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu hivi karibuni katika nchi za Magharibi na kusema vitendo hivyo vya kufuru vinatishia amani.
Habari ID: 3477630    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/21

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
NEW YORK (IQNA) - Viongozi kadhaa wa nchi Kiislamu duniani wamehutubu kwenye Kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo wamelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477627    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/20

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa Iran amelihutubia Kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kueleza kwamba, maadui hawatafanikiwa kupotosha uhakika wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477623    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/20

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Raia wa Iran wameungana katika kutia saini ombi "kubwa zaidi" la kupinga kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu baada ya kurudiwa kwa vitendo kudhalilisha Kitabu Hicho Kitukufu cha Waislamu katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3477619    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/18

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, lobi ya Wazayuni na waungaji mkono wake duniani kote wanataka kuyatenganisha mataifa ya Kiislamu na Qur'ani Tukufu na vilevile Mtume Muhammad (SAW) ili kuendeleza ajenda zao wenyewe.
Habari ID: 3477610    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/17

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni hujuma dhidi ya mataifa ya Kiislamu katika sehemu tofauti za dunia na ametaka mataifa ya Kiislamu yasusie bidhaa za nchi zinazoidhinisha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477594    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/13

Chuki dhidi ya Uislamu
STOCKHOLM (IQNA) - Polisi wa Uswidi wamewakamata watu 15 ambao walijaribu kumzuia mtu mwenye msimamo mkali asichome Qur'ani Tukufu huko Malmo.
Habari ID: 3477544    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
STOCKHOLM (IQNA) - Mtu aliyechoma nakala za Qur'ani Tukufu nchini Uswidi sasa amezuiwa na mtandao wa kijamii wa TikTok kufaidika na klipu anazosambaza.
Habari ID: 3477524    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BAGHDAD (IQNA) - Washiriki katika kongamano la kimataifa lililofanyika kwa njia ya intaneti kujadili suala la kuvunjiwa heshima Qur'ani hivi karibuni barani Ulaya walisisitiza kwamba vitendo hivyo viovu vinakiuka haki za kimsingi mbali na kueneza chuki na ubaguzi.
Habari ID: 3477509    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/28

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Uholanzi wamefanya maandamano makubwa kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu nchini Uswidi na Denmark.
Habari ID: 3477502    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
STOCKHOLM (IQNA) - Mwanamume mmoja ambaye alikuwa akiandamana kupinga mtu mwenye misimamo mikali aliyekuwa akichoma moto Qur'ani Tukufu mbele ya Msikiti wa Stockholm alizuiwa na polisi waliovalia kiraia.
Habari ID: 3477496    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/25

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Denmark imeamua kupiga marufuku kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kufuatia taathira mbaya za hatua hizo.
Habari ID: 3477492    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/25

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Idadi ya wasomaji Qur'ani Tukufu kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu katika jumbe tofauti za video wamelaani vitendo vya kuvunjia heshima Qur’ani Tukkufu barani Ulaya, wakisisitiza kwamba hatua hizo zitashindwa kudhoofisha hadhi tukufu ya Kitabu hicho Kitukufu.
Habari ID: 3477485    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
STOCKHOLM (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Duniani (MWL) amesema mgogoro wa kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu unapaswa kugeuzwa kuwa fursa ya mazungumzo.
Habari ID: 3477447    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/16

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MAKKA (IQNA) - Washiriki katika Kongamano la Kimataifa la Siku mbili la Kiislamu katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia wamelaani vikali vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya na kusema ni vitendo vya kulaaniwa kwani vinakinzana na maadili ya kibinadamu yanayoshirikiwa kote ulimwenguni.
Habari ID: 3477446    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/16

Watetezi wa Qur’ani Tukufu
STOCKHOLM (IQNA) - Wakristo katika mji ulio karibu na mji mkuu wa Uswidi wanashirikiana na Waislamu kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu Uislamu na Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3477437    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/14